Mchezaji wa BRAZILI ambaye pia ni beki wa chelsea ametuma picha zikimuonersha akijiandaa kufanyiwa upasuaji mdogo wa pua kutibu pua yake kutokana na kuumia katika mchezo wa kombe la shirikisho wiki mbili zilizopita katika mchezo uliozikutanisha Brazil na Mexico.
Luiz aliumia baada ya kugongana na Thiago Silva mara alipokuwa akijiandaa kuokoa mpira wa adhabu uliopigwa langon kwao na hivyo kugongana na mchezaji mwenzake huyo.
Silva amewataka mashabiki wake wamuombee ili apone haraka aweze kurudi katika majukumu yake ya kawaida.
Katika mchezo huo uliowakutanisha Brazil na Mexico ulishuhudiwa hadi mwamuzi Howard We b anapuliza kipenga cha kuashiria mpira umekwisha Brazil wakishinda kwa mabao 2-0.
|
LUIZ AKIWA HOSPITAL TAYAR KUFANYIWA UPASUAJI WA PUA |
|
DAVID LUIZ AKIMSUBIR DAKTAR TAYAR KUJA KUFANYA KAZI YAKE HPOSPITALIN HAPO |
|
LUIZ AKIKAGULIWA NA WACHEZAJ WENZAKE KATIKA MCHEZO HUO AMBAO ALIUMIA |
|
LUIZ AKIAMKA KUTOKA NJE ILI AKAGANGWE KABLA YA KURUDI UWANJANI |
|
LUIZ AKIBADILISHA NGUO BAADA YA ZILE ALIZOKUWA AMEVAA KUJAA DAMU |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako