Timu ya soka ya Manchester United jana asubuhi wameanza mazoezi katika uwanja wa AON CARRINGTON, wakijiandaa na michuano maarufu ya Premier League itakayoanza siku za karibuni.
Wachezaji wa timu hiyo walionekana wakishindana kwa magari wakati wa kuingia uwanjani, ambapo Mbrazil Anderson ndio alionekana kuwafunika wenzake kwa kuingia na gari lenye thamani kuliko wengine wote.
Anderson aliingia na gari aina ya Mercedez Benz yenye thamani ya Paund 168,395 (zaidi ya Milion 286 za kitanzania)
|
Anderson akiingia na gari yake aina ya Mercedez Benz SLS AMG inagharama ya Paund 168,395
|
|
Rio Ferdinand aliingia na gari hii aina ya Jaguar XJ Portfolio inauzwa Paund 70,385
|
|
Wayne Rooney aliingia na Range Rover Sport Autobiography yenye thamani ya Paund 84,895
|
|
Nemanja Vidic aliiingia na Mercedez M Class yenye thamani ya Paund 47,385
|
|
Ryan Giggs aliingia na Range Rover Sports Autobiography thamani ya Paund 98,395
|
|
Phil Neville aitinga na Porsche Cayenne yenye thamani ya Paund 86,895
|
|
Rafael na Fabio da Silva waliingia kwa pamoja na gari aina ya Chevrolet Captila lenye thaman ya Paund 32,000
|
|
Michael Carrick aliingia na Mercedez M Class yenye thamani ya Paund 47,386
|
|
Ashley Young yeye aliingia na Range Rover Sport Autography yenye thamani ya Paund 68,995
|
|
Na Alex Buttner alitinga na Chevrolet Camaro Coupe yenye thamani ya Paund 36,785
|
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako