Saturday 13 July 2013

MAMA AMCHOMACHOMA MWANAE KWA MKASI USONI AKIDAI KUNGW'ATWA ZIWA WAKATI WA KUMNYONYESHA

Mama Wakichina amfanyia kitu mbaya mtot wake wa miezi 8 mara baada ya kumcomachoma kwa mkasi usoni kwa kisingizio kuwa alimng’ata chuchu yake wakati wa kumnyonyesha
Kwa Mujibu wa Daily Mail mtot huyo Xiao Bao mwenye miezi 8tu alishonwa zaidi ya nyuzi 100 ili kuurudisha uso wake katika hali nzuri baada ya kushambuliwa na mama yake mzazi lililotokea katika Jiji la Xuzhou mashariki mwa China
Mama wa mtoto huyo alikiri kumchoma mwanae kwa mkasi mara 90 hususan maeneo ya usoni baada ya mtoto huyo kumng’ata ziwa wakati akimnyonyesha
Mtoto Xiao anaendelea kupata matibabu na hali yake inaendelea kuwa nzuri…
Kina Mama mnalichukuliaje hili swala maana imekuwa ni kama desturi kina mama waliokosa utu kuwatesa watoto zao kama vile kuwatupa vyooni ama kuwachoma na pasi

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako