Tuesday 16 July 2013

MDOGO WA MICHAEL JACKSON AACHANA NA MUZIKI NA KUBADILI DINI

  MUMEWE WISSAM AL MANA KULIA AKIWA NA MKEWE JANET JACKSON  
NYOTA Janet Jackson ameripotiwa kuacha sekta ya burudani na kuondoka nchini Marekani  kuishi maisha ya kiislamu huko Qatar.
 
JANET AKIWA AMEVAA KIVAZ CHA HIJABU KICHWANI KAMA O WAISLAMU WENGI WANAVYOFANYA
Rob Shuter ambaye ni mwandishi wa makala,  na mhariri wa zamani wa gazeti la OK amewaambia waandishi wa habari kwamba Janet Jackson kuhamia Mashariki ya Kati na amebadili dini na kuwa muislamu na kufunga ndoa na billionea Wissam Al Mana anaetokea Qatar..
Shuter amesema kuwa tangu Janeth afunge ndoa na  billionaire huyo mwaka jana katika sherehe iliyofanyika  kibinafsi nchini marekani, janeth ameamua kuachana na sekta ya muzi na kwenda kuishi maisha ya kibinafsi na mwenziwe na kukaa mbali na mapaparazi.
JANET NDANI YA VAZI LA DINI YAKE MPYA

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako