Thursday 11 July 2013

STYLE MPYA YA KUCHEZA ALIYOINGIA NAYO DIAMOND PLATINIUM UWANJA WA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MATUMAINI

Madancer wa Mwanamuziki Diamond Platinium Wakicheza style mpya kabla ya Diamond mwenyewe kuingia na kunogesha Style hizo mpya Jumapili iliyopita kwenye uwanja wa Taifa wakati wa burudani zilizotolewa na wasanii kwenye Tamasha la Matumaini

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako