Thursday, 11 July 2013

MESSI NA FABREGAS NDANI YA MATANUZI BAADA YA MSIMU KUISHA.

MARA msimu wa ligi mbali mbali hutafuta sehemu mbalimbali kwa minajili ya kwenda kujinafasi, kupumzika na kufanya starehe au kula bata kama watoto wa mjini wanavyosema.

Hivyo leo tumekuletea picha za wachezaji wa FC BARCELONA Lionel Messi na Fabregas wakifurahia maisha na washkaji zao katika ufukwe maaurufu uliopo huko nchini marekani ukijulikana kwa jina la Ibiza.
LIONEL MESSI WA MWISHO KULIA AKIFUATIWA NA FABREGAS WAKIYAFAIDI MAISHA NDANI YA IBIZA.
SIO KWENYE SOKA TU HATA KATIKA  PIKIPIKI ZA MAJINI PIA CESS FABREGAS YUMO

HAYAWAHUSU ....... FABREGAS NA MKE WAKE NDANI YA BOTI KATIKA UFUKWE MAARUFU WA IBIZA WAKILA STAREHE