Thursday 25 July 2013

HUMPHREY MIENO WA AZAM HUYOO CELTIC YA SCOTLAND.


HUMPHREY MIENO AKIWA KATIKA MAJUKUMU NA TIMU YAKE YA AZAM FC.

KLABU ya Celtic inayocheza ligi kuu nchini Scotland  imeonesha kuvutiwa na kiungo wa Azam Humphrey Mieno na kutaka kumsajili kiungo huyo.
Klabu hiyo imekuwa ikivutiwa sana na wanasoka wa Kenya  baada ya kufanya vizurikwa mkenya Victor Wanyama aliyeuzwa na mabingwa hao kuelekea klabu ya southamton kwa dau la paundi million 12, southamton kwa dau la paundi million 12,

Habari zilizoripotiwa na  mtandao mmoja wa habari za michezo nchini Kenya zinasema Bossi wa klabu ya Celtic Neil Lenon ameuulizia upatikanaji wa mchezaji huyo anayekipiga Azam kwa mkopo akitokea Sofapaka ili waweze kumpa mkataba.
MIENO

Ingawa inasemekana pia Celtic watatakiwa kufanya michakato ya kumsajili kama kweli wanamtaka  kwasababu vilabu vikubwa vya Tunisia kama klabu African na Esperance vioammezea mate kiungo huyo.  
HUMPHREY MIENO JE ATAENDA CELTIC AU ESPERANCE........NGOJA TUONE

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako