Msanii wa uchoraji Johannes Stoetter ametumia ujuzi wake kwa muda wa
miezi mitano kutengeneza kwa kutumia rangi kuweza kuoanisha watu pamoja
na mazingira na vitu vinavyozunguka binaadamu kama ifuatavyo.
|
MCHORO WA CHURA ULIOTENGENEZWA KWA KUTUMIA BINAADAMU WATATU WALIOKAA PAMOJA |
|
SURA YA BINAADAMU IKIWA IMETENGENEZWA KUFANANA NA MAUA |
|
MCHORO HUU UNAWEZA UKADHANI NI MAUA MATUPU LAKIN HUYU NI BINAADAMU ALIYECHANGANYIKANA NA MAUA HAYO |
|
UNAWEZA KUJIULIZA HILI NI NANASI LA AINA GANI LAKINI HIKI NI KICHWA CHA MTU KILICHOPAKWA RANGI MFANO WA NANASI KIKIWA NA MANANASI |
HAPO SASA NDO UJIULIZE UTAALAMU HUU UMEMGHARIMU MSANII HUYU KWA KIASI GANI.
|
MABOGA MABOGA MABOGA,,,,,USIZANI KUWA HAYO NI MABOGA MATUPU BALI NI UFUNDI ULIOTUMIKA KUOANISHA MABOGA NA KICHWA CHA MTU HAHAHAHAA INACHANGANYA SANA |
|
PICHA YA BINAADAMU ILIYOOANISHWA NA CHATU KULETA UMBO NA RANGI ZINAZOONEKANA KUWA SAWA KWA KIASI KIKUBWA,,,,,,,JE UNAWEZA UKAGUNDUA MWANZO WA NYOKA NA ALIPOISHIA? SWALI KWAKO PATA PICHA |
|
KWA WALE WAPENZI WA MATIKITI MAJI WAJIHADHARI WASIJE WAKALA KICHWA CHA MTU HAPO KATI......UFUNDI WA MSANII HUYU NI WA HALI YA JUU. |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako