Saturday 16 August 2014

LADY JAY DEE. KOMANDO ATOA MAJIBU KUPITIA PICHA

 
Baada ya tetesi kusambaa nchini ya kuwa Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee ameachana na mumewe Gadner G. Habash, Lady jay dee ameamua kutoa picha ya mkono wake wa kushoto ukiwa na pete kwenye kidole cha shahada ili kuudhibitishia umma ya kwamba hajaachana na mumewa.
Picha hiyo aliituma kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno yanayoshabihiana na picha hiyo japo wataalam wa mambo wamebaini ni njia ambayo ameitumia Komando kueleza umma juu ya Ndoa yake.

TEMBEA UONE MAAJABU

 
NIMEKUTANA NA TANGAZO HILI USO KWA USO KWENYE OFISI MOJA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM