Track
: Video Game
Artist : Ado The Warrior Ft. NuruMuzik & Rich Zion
Beat maker : NuruMuzik
Vocal Recording / Mixing & Mastering : P-Funk Majani
Producer : NuruMuzik & P-Funk Majani
Publishing : Bongo Records Limited.

video
game ni wimbo uliorekodiwa mwaka 2012 mwezi wa 11 na vijana watatu ambao ni
:
elinuru nicolaus ( nurumusic ) kutoka manyara miaka 23,
demetrius adolph ( ado the warrior ) kutoka mbeya miaka 22,
richard ( rich’zion ) kutoka dar es salaam miaka 23.

vijana
hawa waliokutana chuo cha sanaa bagamoyo wakisoma
kozi fupi ya utayarishaji wa muziki ( music production ).
rich’zion kasimama verse ya kwanza
nurumusic kasimamia coras na bridge
verse ya pili yupo ado the warrior.
beat la video game limetengenezwa na nurumusic ambaye ndiye aliyeimba coras,
na wimbo huu umerekodiwa na kumixsiwa studio za bongo records chini ya usimamizi wa P.funk majani.

No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako