Kipindi hiki ambacho ligi nyingi Duniani zikiwa zimesimama hivyo wachezaji wengi wakijipumzisha katika maeneo mbalimbali kama wanavyoonekana katika picha hizi kwenye ufukwe wa Ibiza nchini Marekani.
![]() |
FABREGAS AKILA BATA NA WIFE WAKE KATIKA MOJA YA FUKWE MAARUFU HUKO MAREKANI UITWAO IBIZA |
![]() |
MOJA YA STAREHE WAPENDAZO WATU WENGI MASTAA MARA BAADA YA KUCHOKA KUTOKANA NA MAJUKUMU |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako