Sunday 14 July 2013

ZIARA YA MOYES NA MANCHESTER UNITED YAANZA VIBAYA

UNAWEZA kusema mkosi lakini soka ndivyo lilivyo kufuatia David Moyes kuanza vibaya katika nafasi yake kama kocha mkuu wa Manchester United baada ya kufungwa bao 1-0, na Sigha All Star ya Bangkok.
Kikosi cha Manchester united kilianza mchezo huo bila ya kuwa na nyota wake tisa wa  kikosi cha kwanza.
Bao la wapinzani hao wa Manchester united liliwekwa kimiani dakika 14 mara baada ya kuanza kwa kipiondi cha pili, na pamoja na kuwa hizo ni mechi za kirafiki lakini hazijamuweka Moyes katioka hali ya furaha kwani hakuna mtu anayependa kuona anaanza kazio yake vibaya
MOYES AKIONEKANA KUTOKURIDHISHWA NA WANACHOKIFANYA WACHEZAJI WAKE
CLEVERLY AKIJITAHIDI KUKIMBIA NA KUFUMUA SHUTI LAKINI MWISHO WA MECHI WALILALA KWA BAO 1-0
WELBECK STRAIKA PEKEE ALIYEKUWA ALETE MATUMAINI LAKINI HAIKUWA HIVYO
FABIO KAZINI
GOLIKIPA CHIPUKIZI WA MAN UNITED BEN AMOSI AKICHUPA KUONDOSHA HATARI LANGONI KWAKE
KIKOSI CHA MAN UNITED KILICHOANZA MCHEZO HUO

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako