Monday 15 July 2013

DUDE NDANI YA VIDEO YA YAHAYA YA COMANDO JIDE

YULE staa wa mchezo uliokuwa ukirushwa na TBC1 wa Bongo Dar es Salaam maarufu kama Kulwa kikumba  au DUDE kama alivyozoeleka amekula shavu la kuwa mhusika mkuu wa video mpya ya wimbo wa mwanamuziki Lady jay dee maarufu kwa jina la YAHAYA.
Katika picha zilizotolewa na mwanamuziki huyo maarufu kama Komando au ukipenda muite Anaconda katika mitandao yake ya kijamii imenamuonesha DUDE akiwa katika vitendo na matukio ya uchukuaji wa video za wimbo huo,
Jay Dee anaetamba na kibao hicho kinachokimbiza katika vituo mbalimbali vya Redio hapa nchini anatarajia kuachia video ya wimbo huo hivi karibuni.
DUDE NDANI YA MOJA YA VITENDO KATIKA VIDEO YA YAHAYA
MUIGIZAJI NA MCHEKESHAJI KUPA WA KWANZA KUSHOTO MWENYE SHATI JEUPE PIA ATAKUWEPO
DUDEEEEE NDANI YA KIDEOO AMETOKELEZEAJEE
JIULIZE SASA YAHAYA NDO HUYO HAPO NA ANAISHI WAPI.......

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako