Friday 12 July 2013

PICHA ZAIDI MSIBA WA MAMA PROFESA JAY

       Huyu ni Lisa mtoto wa Profesa Jay akiwa kwenye picha ya Marehemu Bibi Yake Mbezi
             Sugu akiwasili msibani Mbezi kwa Prof Jay kwa ajili ya kumfariji mtu wake

 Kutoka kushoto ROMA akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu kulia ni RHINO nae akiweka saini yake kwenye kitabu cha kumbukumbu...

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako