Wednesday 31 July 2013

BARUA INAYOMTUHUMU IDDI AZAN KUHUSIKA NA UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA



Hii ni Barua Inayosemekana kuandikwa na Mfungwa wa kitanzania kutoka Hong Kong akieleza kile kilichompata pale alipojiingiza kwenye biashara ya Madawa na kuwatuhumu baadhi ya watu akiwemo Mbunge wa Kinondoni Mhe Idd Azzan kuhusika na biashara hiyo pata muda wako kuipitia vizuri kisha uichambue kwa uelewa uliopewa na Mungu.......PATA PICHA

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako