Tuesday 31 December 2013

HAPPY NEW YEAR 2014 (SHUKRANI SANA WADAU)

Wale woote wadau wetu wa Michezo Tunawashukuru kwa kutu-support katika kipindi hc amwaka huu toka tulipoanza
Wale wa Habari za Saa, Habari Mpasuko Tunashukuru kwa kuwa pamoja nasi kwa kipindi hiki cha mwaka 2013
Tushangilie kwa Amani na Upendo, na kwa kumshukuru mungu kutuvusha salama mwaka 2014 
Wapenzi wa Ma-lavidavi Huku tukifunga mwaka huu kwa namna hii tutafungua Ukurasa mpya wa 2014 kwa kuwaletea Kipindi bora cha Mapenzi ndani ya Television pendwa kuanzia mwezi wa 2 (Mwezi wa Malavidavi)
 

BAS LA KIMATAIFA LATUA JIJINI LALETWA NA AZAM

Haijatokea bado kwa Afrika nzima 
Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi.
Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.

01/01/2014 NDANI YA MAISHA CLUB USIKU WA WASAMBINUNGWA NA UZINDUZI WA VIDEO YA NAY WA MITEGO"NAKULA UJANA"

 

PICHA 50 ZA UKABIDHI WA RASIMU YA PILI YA KATIBA MPYA - KARIMJEE