Friday 14 February 2014

PICHA MBALIMBALI ZA YANGA HUKO COMORO

Mojawapo ya Viwanja vinavyotumika na Vijana kufanya mazoezi nchini Comoro
Mwandishi Mkongwe wa Michezo hapa Nchini, Elius Kambili akiwa na mmoja wa Wachezaji wa Yanga kwenye Ndege kuelekea Comoro
Mwandishi Mkongwe wa Michezo hapa Nchini, Elius Kambili (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya wachezaji Nchini Comoro
Wachezaji wa Timu ya Yanga wakifanya Mazoezi katika Moja ya Viwanja Nchini Comoro 
Baadhi ya wachezaji chipukizi wa mpira wa miguu nchini Comoro wakitizama mazoezi kutoka kwa Timu ya Yanga Africa 
Kiwanja kinachotumiwa na Yanga kufanyia mazoezi Nchini, Comoro 
Mwandishi Mkongwe wa Michezo hapa Nchini, Elius Kambili (katikati mwenye flana ya Bluu) akiwa amekaa na vijana wa kijiweni Nchini Comoro 
Mwandishi Mkongwe wa Michezo hapa Nchini, Elius Kambili akiwa na wachezaji wa Yanga Uwanja wa Ndege
Mwandishi Mkongwe wa Michezo hapa Nchini, Elius Kambili akiwa na wachezaji wa Yanga Uwanja wa Ndege
Hoteli waliyofikia Timu ya Yanga Nchini Comoro

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako