Magari yakiwa kwenye Foleni Maeneo ya Kibamba |
Gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T575 BSA likiwa bembeni baada ya kugongwa daraja usiku wa kuamkia leo |
Gari aina ya Fuso lililoleta Foleni likionekana kwa mbali na Trafiki akiendelea na kazi yake |
Eneo la Daraja likiwa limeharibika baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso leo alfajiri |
Eneo la Tukio likionekana kwa mbali na lori lingine likiwa limeharibika Leo asubuhi
|
Lori lililoharibika katikati ya daraja leo asubuhi liliongeza foleni baada ya Fuso kutolewa |
Afisa Habari wa Jeshi la Polisi Pwani Hassan Mtengevu akipata maelezo kutoka kwa Dereva wa Fuso Bw. Said Hassan |
Mwandishi wa Habari akiendelea na Kazi yake ya kuchukua Matukio |
Magari yakiwa kwenye foleni baada ya Fuso kuziba njia Kibamba |
Eneo la mizani likionekana baada ya Foleni kusamiri |
Magari yakiwa kwenye Foleni maeneo mbalimbali ya Kibaha
Watu wakirudishiwa Nauli zao Kituo cha basi Kihaba Maili moja |
Abiria wakiwa wanasubiri Magari ambayo yamekwama kwenye Foleni Leo asubuhi |
Malori na Pikipiki ndani ya Foleni |
Abiria wakiwa wanatembea taratibu kwenda mjini baada ya Foleni kuwa kubwa |
Mkuu wa Matrafiki Mkoa wa Pwana akiwa eneo la tukio kupunguza Foleni
Malori mengine yakiwa yameharibika barabarani na kuongeza foleni eneo la Kibaha leo asubuhi
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako