Friday 19 July 2013

VODACOM WAWAFUTURISHA WAUMINI WA MJI WA MWANZA

Vodacome Mwanza kupitia kauli mbiu yao ya PAMOJA NA VODACOM imewafuturisha baadhi ya waislam Jijini Mwanza pamoja na Madrasa hivi leo.....
                                     Wakina Mama nao hawa kuwa nyuma katika tafrija hii
               Picha ya pamoja wakiwa na Mkuu wa mkoa wa Mwanza na Shekhe Mkuu wa
                                             mkoa pamoja na wafanyakazi wa Vodacom....
                 Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika meza kuu kwa ajili ya nasaha na futari
                Kwa mbali kushoto ni Meneja wa Masoko wa Vodacom Bi.Rukya Mtingwa
                     Mkuu wa Mkoa akiwalisha keki baadhi ya vijana wa Madrasa Za Mwanza
.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako