Tuesday 16 July 2013

MAN CITY WAMKATALIA STEFAN JOVETIC


Manchester city wamekubaliana na Fiorentina juu ya dau la paundi million 27 kumsajili kiungo Stefan Jovetic.
Wakala wa mchezaji huyo aitwaye fali Ramadani anategemewa kusafiri hadi jiji la Manchester kukutana na mkurugenzi wa ufundi wa Manchester city Txiki Begiristain ifikapo jumatatu.
Habari zinasema Dau la Jovetic litaongezeka hadi kufikia Paundi millioni 30 iwapo kiwango cha mchezaji huyo kitawaridhisha kwa kiasi kikubwa mabosi hao wapya wa Jovetic
Wawili hao walishakutana wiki iliyopita kujadili dau la Paundi 250 millioni kama mshahara wa wiki wa kiungo huyo.

KIUNGO HATARI STEFAN JOVETIC
STEFAN AKIFANYA MAMBO YAKE NDANI YA FIORENTINA
USIONE MANYWELE UKAZANI HAJUI KITU HUYO NI MTU HATARI SANA
JOVETIC AKIFANYA MAVITU YAKE UWANJANI.....JE MAKALI HAYO ATAYAENDELEZA AKIWA MA

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako