Wednesday 17 July 2013

LULU AKIPOKEA TUZO YAKE YA ZIFF


Kama unakumbuka hapa hapa kwenye PATAPICHA.BLOGSPOT.COM tulikupa habari ya actress Elizabeth Michael "Lulu" kushinda tuzo ya ZIFF kama muigizaji bora wa kike kwenye filamu za kiswahili kupitia movie ya Woman of Principle. 
Siku ya tukio Lulu hakuwepo, lakini amekabidhiwa tuzo yake hivi karibuni. 
Pata Picha inakuletea baadhi ya picha za Lulu akipokea zawadi zake na Tunzo ya ZIFF

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako