Saturday 13 July 2013

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA IRENE UWOYA JUU YA DAIMOND


Kufuatia kuripotiwa kwa habari iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" mwanadada Irene Uwoya ameamua kuvunja ukimya na kueleza dukuduku lake la moyoni....
Habari  hiyo  ililipotiwa  jana  na  magazeti ya udaku  ikisimulia  jinsi  Diamond  na  Uwoya  walivyonasana na hatimaye kuvunja  amri  ya  sita....
Katika  habari  hiyo, msemaji  ni  Diamond  na  wapambe wake  ambao  wanasimulia  jinsi  walivyomnasa  Uwoya  na  kumfanya  akubali  kuvua  nguo....
Baada  ya  habari  hiyo  kutoka, Uwoya  alishindwa  kuyaamini  macho  yake  na  hii  ndo  kauli  yake  aliyoitoa:
“Kuna saa najiuliza kwanini ukimwamini mtu ndio anageuka...kwanini ukiwa muwazi  watu wanakuchukulia vibaya? 
"Leo( jana)  nimeumia sanaaa kuliko siku zote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mimi...
"Au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin saa nyingine nakaa chini nasema God ...u know me better”...Uwoya

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako