50 Cents hajawahi kumaliza high school, lakini alishawahi
kuaminiwa kuwa "mkuu wa maendeleo ya biashara na mauzo" kupitia
facebook 2005.
Wakati nafasi ya mwanzilishi mwenza
wa Facebook, Saverin Eduardo (mkuu wa maendeleo ya biashara na mauzo)
kuchukuliwa na Kevin Colleran, Zuckerberg alimchanganya kijana huyo na mega
superstar 50 Cent kutokana na picha ya profile yake inayomuonyesha akiwa
na 5o Cent.
Hivi ndivyo jinsi ilivyokuwa siku ya kwanza walipokutana
Zuckerberg na Colleran uso kwa uso.
Zuckerberg alipanga kukutana na Colleran mbele ya Virgin
Megastore iliyopo New York Union Square, Colleran alifika akiwa
amechelewa na hivyo kuelekea moja kwa moja alipo Zuckerberg huku akipokea
simu kutoka kwa huyo huyo Zukerberg akimuuliza "Uko wapi", Colleran
akamjibu nimpo mbele yako.
Zuck alimuangalia kwa mshangao sana, alidhani muuza
matangazo ya facebook ni yule jamaa aliekuwa akionekana mweusi na tafu
sana kwenye profile picture (50 Cents)
Rais wa Facebook na mwanzilishi wa Napster, Sean Parker
alimwambia Colleran kuwa mkutano na Zuckerberg ulikuwa wired sana sababu
"sisi tulidhani ungekuwa African-American."
Wakati
wa mkutano wao, 50 Cent alikuwa tayari kashauzwa rekodi zaidi ya milioni 8 na
album yake ya kwanza Get Rich Or Die Trying, na moja ya single zilizofanikiwa
sana kwenye radio kwa muda wote "In Da Club" na alikuwa
kashasainiwa Dr Dre na Eminem
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako