Thursday, 11 July 2013

SOMA ALICHOKIANDIKA MGOSI MKOLONI KUHUSIANA NA KIFO CHA MAMA YAKE PROFESSA JAY MBEZI

Mrs Haule Mama Mzazi wa wanamuziki, Professor Jay, Black Rhino na Simple X enzi za Uhai wake (Mrs Haule amefariki Jana usiku kwa kugongwa na gari eneo la Mbezi Mwisho, Mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Tumbi Kibaha)
Mgosi Mkoloni
...........Profesa Jay amefiwa na mama yake mzazi usiku wa jana kwa ajali baada ya kugongwa na gari akiwa anavuka barabara jirani na nyumbani mbezi jana majira ya saa 1 usiku,tupo nyumbani kwa Profesa msibani tokea jana,

PATA PICHA inatoa pole kwa  Profesa ,Black Rhino,Simple X, Steve,Viola na Koliombi ambayo ndio familia ya Haule....Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema amin