Sunday 14 July 2013

PICHA ZA WASANII WANAOZUNGUMZIWA ZAIDI DUNIANI ZIPO HAPA

Wale Wasanii Wanaozungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii duniani wametajwa huku mkali wa Young Money, Drake akiwa namba moja kwa kuzungumziwa mara 46,212,641 akifuatiwa na Rapper Kanye West aliyeongelewa mara 25,418,362 kwenye mitandao tofauti ya kijamii. 
Takwimu zinaonyesha kutoka kwa album ya Yeezus na Magna Carta Holy Grail ndio kumesababisha Jayz na Kanye Kuongelewa sana kitu kilichofanya maongezi yao kuongezea mara milioni 5. Orodha Ndio Hii.
1. Drake – 46,212,641
2. Kanye West – 25,418,362
3. Lil Wayne – 22,052,209
4. Rick Ross – 16,113,915
5. Jay-Z – 16,022,820
6. 2 Chainz – 13,628,752

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako