Friday 12 July 2013

PROFFESA JAY AELEZEA A - Z ALIVYOPOKEA SIMU YA MWISHO KUTOKA KWA MAMA YAKE



Mama Alinambia “mwanangu nimegongwa na gari njoo nipo polisi naandikisha mwanangu nakufa mwanangu nakufaa alinambia mama na mara simu ikakatika….”kila nilipojaribu kupiga ikawa haipatikani alisema Prof JAY kwa uchungu…!
Wakati Prof jay anapigiwa simu na mama yake alikuwa katika Mgahawa wa Nyumbani lounge Namanga Dar es Salaam alipokuwa katika kikao na Jay Dee na Gadner G Habash ambao baada ya taarifa hizo ilibidi wamsindikize Prof Jay hadi Hospitali ya Tumbi

Tulipofika hospitali sikuamini kuona badala ya kupelekwa wodini ambako nilidhani mama atakuwa amelazwa nikapelekwa  chumba cha maiti ambako nilimkuta mama Haule akiwa marehemu 

Prof Jay aliiambia PATA PICHA
Tunatoa pole kwa familia ya marehemu na Mungu awape moyo wa subira kwenye  wakati huu mgumu.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako