Friday 19 July 2013

SAMMATA NA TP MAZEMBE MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA ENTETE SETIF

PICHA ZA UKUMBUSHO NI MUHIMU KATIKA MAISHA KAMA WANAVYOONEKANA WACHEZAJI HAWA WA TP MAZEMBE
NDANI YA GARI KUELEKEA MAZOEZINI
STOPILA SUNZU MWENYE MAVAZI MEUPE ALIYESHINWA KWENDA KUCHEZA ULAYA KUTOKANA NA MIZENGWE PIA ALIKUWEPO
Waliowahi kuwa mabingwa wa Africa, timu ya TP MAZEMBE iko nchini Algeria ikijiandaa na mchezo wao dhidi ya Entete Setif  kombe la shirikisho linaloandaliwa na CAF.
MBWANA ALI SAMMATA AKIFANYA VITU VYAKE KATIKA MAZOEZI YALIOFANYWA KATIKA UWANJA WA SETIF
BAADA YA MAZOEZI KUPUNZIKA NI MUHIMU
KAMA KAWAIDA NA WAKATI HUU WA MFUNGO WA RAMADHANI LAZIMA TUPIGE PICHA ZA KUMBUKUMBU NA TRESSOR MPUTU KING AMBAYE NI NAHODHA WA TP MAZEMBE
Ikiwa na wachezaji wam kiTanzania Mbwana Sammata "Sama goals" na Thomas ulimwengu " The buffalo" hizi ni baadhi ya picha zao kabla ya mchezo wao utakaopigwa baadaye usiku wa leo nchini Ageria.
KOCHA WA TP MAZEMBE KATIKA TABASAMU ZITO...
WANAUME KAZINI....VIP SETIF WATATOKA HAPO
TP MAZEMBE WAKIINGIA UWANJANI KWENDA KUFANYA MAZOEZI

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako