Friday 19 July 2013

TOTTENHAM WATOA MSIMAMO WAO JUU YA BALE KWENDA MANCHESTER UNITED.

MTUKUTU GARETH BALE
TOTTENHAM hotspurs imekata mzizi wa fitina kwa ofa iliyotumwa na Manchester United kwa kusema  mchezaji Bale  kamwe hauzwi kwenda klabu yoyote.
BALE HAUZWIIIIIIIIII
Meneja wa Tottenham Daniel Levy alisema hawako tayari kumuuza winga huyo si tu kwa dau la paundi milliono 60 la ofa waliyopendekeza Manchester United ila hata kwa dau la paundi millioni 85 litakalofunja rekodi ya dunia na kuwataka Manchester United kuacha kujisumbua na kujipa matumaini ya kunasa saini ya winga  huyo.
MENEJA DAVID LEVY ALIYEPIGILIA MSUMARI KWA VIJANA WA OLD TRAFFORD KUWA " BALE IS NOT FOR SALE" BALE HAUZWI
Tottenham wametoa taarifa kuwa Bale ana furaha ya kuendelea kubaki ndani ya kikosi cha Tottenham lakini hiyo inafahamika kuwa ni njama ya kuikatisha tamaa Manchester United kwa kutaka kumsainisha winga huyo.
BALEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako