David moyes ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha Manchester united kwa ajili ya msimu ujao na atakuwa akifanya kazi na mameneja wawil waliochaguliwa ambao ni
• Steve Round kocha msaidizi wa David Moyes,
• Chris Woods, kocha wa magolikipa
• Jimmy Lumsden,kocha atakaeambatana na benci la ufundi la timu hiyo
![]() |
KOCHA MPYA WA MAN UNITED DAVID MOYES AKIWA NA WASAIDIZI WAKE MUDA MFUPI KABLA YA KUKINOA KIKOSI CHA MASHETANI HAO WEKUNDU KAYIKA UWANJA WA CARING |
• Chris Woods, kocha wa magolikipa
• Jimmy Lumsden,kocha atakaeambatana na benci la ufundi la timu hiyo
![]() |
MOYES AKIINGIA KWENYE MAJENGO YA MANCHESTER KWENDA KUANZA MAJUKUMU MAPYA |
![]() |
KARIBU MAN U MOYES |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako