Sunday 1 December 2013

IFAHAMU FAMILIA YA KOFFI OLOMIDE

 
Del Pirlo Mourinho “De Boss” mtoto wa pili wa kiume wa Mopao ambae mopao kwa mapenzi yake kwake humwita The boss na pia ameipa hotel yake ya kisasa jina la huyu mtoto,inaitwa VILLA DEL PIRLO 
DelPirlo Mourinho Le Boss, Ambaye Hotel ya Koffi yenye hadhi ya nyota Tano imepewa jina lake. 
Huyu ni binti pekee wa Koffi Olomide,wengi mtakua mmeshalisikia jina lake kwenye nyimbo nyingi za koffi,anaitwa Didi Stone,nyuma ni picha za wadogo zake,Del Pirlo na Saint James,hii ilikua ni tarehe 17 mwezi mwaka huu July 2013,ambayo ndio siku yake ya kuzaliwa. 
Didi Stone a.k.a. Nike Olomide
Hapa ni mzee mzima mwenyewe Le Rambo du Zaire Mopao Mokonzi na wanae Didi Stone,Del Pirlo de Boss na Saint James
Koffi,Alia na Kitinda mimba wao Saint James
Na hii ndio VILLA DEL PIRLO yenyewe,a four star hotel ya Koffi Olomide ambayo inapatikana : 47, Allée de Mont-Fleury, Quartier Mont-Fleury katika eneo tulivu na salama la Ngaliema jijini Kinshasa
Mamaa Aliana …huyu ndio mke halali wa ndoa wa Mopao Koffi Olomide
Huyu anaitwa Rocky,ndio mtoto wa kwanza official wa koffi kabla hajakutana na mkewe wa sasa Aliana,mkisikiliza nyimbo za koffi za miaka ya mwanzoni mwa tisini mtalisikia sana jina la huyo kipindi kile kina Suzuki walimtajataja sana na koffi alikua akijulikana kama Papa Rocky,sasa kama ulikua hujui Rocky mwenyewe ndio huyu kawa mkaka now. 
Hapa kutoka kushoto ni kitinda mimba Saint James,dada mkubwa Didi Stone na Le Boss mwenyewe Del Pirlo.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako