Monday 5 August 2013

WABUNGE WA TAIWAN WACHAPANA MAKONDE TENA

Baadhi ya wabunge wa Bunge la Taiwan Jana walionyeshana umwamba kwa kuchapana makonde baada ya kupishana kauli wakati wa mjadala kuhusu mpango wa kura ya maoni iliyoadhimia kuidhinisha umaliziwaji wa mradi wa nne wa ukarabati wa miundomindu katika kisiwa ambacho kinakaliwa na watu wapatao milioni 23

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako