
Wawakilishi kutola Kampuni ya Coca cola wakipata maelezo kutoka kwa Mrusha Matangazo (Chriss Milinga-hayupo pichani) ndani ya Chumba cha kurushia matangazo ya DTV

Wawakilishi kutoka Kampuni ya Coca cola wakipata maelezo kutoka kwa Mrusha Matangazo (Chriss Milinga) ndani ya Chumba cha kurekodia vipindi vya DTV

Wawakilishi kutoka Kampuni ya Coca cola wakiwa Studio za DTV

Wawakilishi kutoka Kampuni ya Coca cola wakiwa Studio za DTV

Wawakilishi kutoka Kampuni ya Coca cola wakitoka Studio za DTV kuelekea eneo la kurushia matangazo

Wawakilishi kutoka Kampuni ya Coca cola wakipata maelezo zaidi kutoka kwa studio manager (Hayupo Pichani)
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako