Wednesday 14 August 2013

KALA JEREMIAH KUACHIA TRACK LEO

Yule Mshindi wa Tuzo Tatu za Kili Music Awards Kala Jeremiah Leo ataachia Track yake kwenye radio mbalimbali.
Hayo ameyaelezea kwenye Ukurasa wake wa Facebook kama inavyoonekana hapo chini
Tunatarajia Track ambayo ataiachia itakuwa bora zaidi ya ile ya Dear God ambayo ilishinda Tuzo ya Wimbo bora wa mwaka

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako