Friday 23 August 2013

NDEGE YATUA ZIWANI KWA DHARULA

Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani. 
Ndege hiyo ilikuwa na abiria sita na rubani mmoja ambapo wote walijeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Seliani mjini Arusha kwa matibabu jana

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako