Monday 5 August 2013

OMMY DIMPOZ "SIUZI WALA KUNUNUA MECHI"

Msanii wa Kizazi kipya Aliyetokea kwenye Band ya TOP BAND Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ametoa kauli ya kutokuuza mechi wala kununua mechi baada ya kupima virusi vya UKIMWI mwishoni mwa wiki iliyopita.

Katika Post yake aliyoituma kwenye ukurasa wa Instagram wa Star huyo wa Single Mpya "Tupogo" aliyomshirikisha J Martin inaonyesha Hospital aliyopima na majibu yakiwa Negative.
Pia aliongeza ya kuwa amepata tabu sana hadi kufikia uamuzi huo wa kupima virusi vya UKIMWI.

Pia alielezea sababu ya kupima virusi hivyo ni kuwa,

  1. Kujua Afya ili ujilinde na uwe mtu bora
  2. Kukinga wengine baada ya kujua Afya yako pia ni muhimu

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako