Monday 26 August 2013

CHARLES BABA APATA JIKO

Rais wa Bendi ya mashujaa, Charles Baba Jumamosi ya Tarehe, 24/8/2013 amefunga ndoa na mchumba wake Rehema Sospeter katika kanisa Katoliki la St. Peter.
 
Rais huyo wa Mashujaa amefanikisha kufunga pingu za maisha na Rehema aliyemvalisha pete ya Uchumba Jumamosi ya tarehe 11/5/2013 wakati Bendi ya mashujaa Ilipokuwa inatambulisha albam yao iliyojulikana kwa jina la Risasi

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako