Friday 30 August 2013

PATA VIDEOs ZA KWENYE UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND

 
Waalikwa wakipiga Story na Shemeji yao (Mke mtarajiwa wa Diamond - Penny) ndani ya ukumbi wa Serena Jana usiku katika uzinduzi wa Video ya my number one
 
Diamond akimfungulia na kumuwashia gari aliyomzawadia Mzee Ngurumo nje ya ukumbi wa Serena Jana usiku katika uzinduzi wa Video ya my number one
 
Diamond akiwakaribisha wageni waalikwa ndani ya ukumbi wa Serena Jana usiku katika uzinduzi wa Video ya my number one
 
Diamond akiomba idhini ya kwenda kumpa gari yake Mzee Ngurumo Jana usiku katika uzinduzi wa Video ya my number one
 
Diamond na wacheza shoo wake wakiburudisha hadhira kwa track hiyo mpya ndani ya ukumbi wa Serena Jana usiku katika uzinduzi wa Video hiyo
 
Picha ya Diamond akiwa na wadau wa muziki ndani ya ukumbi wa Serena Jana usiku katika uzinduzi wa Video ya my number one
 
Hii ndiyo gari aliyopewa Mzee Ngurumo wakati wa Uzinduzi wa Video ya Diamond katika Hotel ya Serena
 
Baadhi ya wadau waliokuwepo ndani ya ukumbi wa Serena Jana usiku katika uzinduzi wa Video ya my number one
 
Behind the scene ya Video ya my number one ikielezewa na Mhusika Mkuu Diamond Plantinium
Hii ndiyo Video yenyewe ya my number one ikioneshwa kwenye moja ya Screen zilizokuwepo ndani ya Ukumbi wa Serena

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako