David Beckham amestaafu kucheza soka
baada ya miaka 20 ya kucheza mchezo huo. Soon baada ya kuweka rekodi ya kuvaa
medali ya nne katika ligi kubwa nne tofauti duniani akiwa na Saint-Germain,
nahodha huyu wa zamani wa England ametangaza rasmi kustaafu soka.
This latest title was the tenth of
his career katika nchi nne, makombe aliyoshinda na Manchester United ya Premier
League, moja kwenye La Liga na Real Madrid and the two he earned in MLS with
the Los Angeles Galaxy. Beckham ameweza kuichezea England kwenye michezo 115,
na aliiongoza nchi yake katika two World Cups (appeared in three) pamoja na
European Championship.
Pamoja na uamuzi huu wa kustaafu,
but don't expect him to fade into the sunset, unless it's a fabricated one with
cameras rolling and a director yelling 'Action!' Beckham ataendelea kubaki
kwenye spotlight pamoja na kuendelea kuwa mmoja wacheza soka watakaokuwa
wanaingiza mkwanja mrefu huko mbeleni.
Last year he made $50.6 million,
ambazo ni $6.5 million ndizo zilizotokana na mashahara wake, akishika nafasi ya
kwanza katika listi ya Forbes ya wanasoka wanaolipwa fedha nyingi. (In fact, so
little has salary had an impact on him, kiasi kwamba katika dili lake na PSG,
Beckham opted to donate his salary to a children's charity.) Kiasi kilichobakia
cha $44 million zilitokana na endorsements deals — zaidi ya $33 million kutoka
kwenye deals with Adidas , Breitling, Coty, H&M , na Sainsbury, mikataba
yote itaendelea kwa miaka kadhaa mbele.
Dili mpya zinaohusiana na soka
alizosaini miezi mitano iliyopita itasaidia kutunisha zaidi mfuko wake. In
March, alisaini dili na kuwa Chinese Super League to become its first global
soccer ambassador katika juhudi ya kuipromoti na kuisafisha image ya soka la
nchi hiyo baada ya kukumbwa na match-fixing scandal. The multi-year,
multimillion deal litamfanya Beckham kusafiri mara kwa mara kwenda China kama
ilivyotokea wiki kadhaa zilizopita pamoja na kucheza mechi za hisani.
Pia hivi karibuni mwezi wa nne,
Becks alisaini mkataba wa kuwa balozi wa BSkyB, the British satellite TV
provider - kampuni ambayo billionea Rupert Murdoch anamiliki hisa, Beckham
atakuwa akionekana kwenye matangazo ya kuitangaza network hiyo na kushawishi
ushiriki wa vijana katika soka ndani ya UK na Ireland. 's News Corpowns a
stake, to appear in ads to promote the network and encourage youth
participation in soccer across the UK and Ireland. Dili hilo litamuingizia
Beckham kiasi cha $30 million katika kipindi cha miaka 5 years.
As a result, Beckham ataendelea
kutengeneza kiasi kisichopungua $40 million kwa mwaka huu na ujao, kiasi
kinachotosha kabisa kuwa miongoni mwa top three highest-paid soccer stars kwa
pamoja na Cristiano Ronaldo na mchezaji bora wa sasa wa dunia Lionel Messi.
Pia hilo linamuweka kwenye category
ya aina yake ya wachezaji waliostaafu wanaowazidi wachezaji wanaocheza mchezo
aina yao kwa kuingiza fedha nyingi. Michael Jordan ndio kiboko yao kwenye listi
hiyo, bado anatengeneza kiasi kisichopungua $80 million a year.
Kama Mike, Becks baada ya
kutengeneza headlines na kustaafu ameanza kuhusishwa na kutaka kurudi kwenye
soka, lakini safari hii sio kucheza wala ukocha bali kumiliki timu ya soka.
Hivi karibuni Becks kwa kushirikiana na Billionea wa Bolivia Marcelo Claure
walitembea huko Miami wakiangalia namna wanavyoweza kuwekeza ligi ya MLS kwa
kumiliki timu ya soka ndani ya Miami.
PSG pia wamekaririwa wakisema wana
matumaini ya kumfanya Beckham kuwa balozi wao baada ya kustaafu soka akiwa na
klabu hiyo. Majadiliano juu ya mpango huo na klabu hiyo inayomilikiwa na Qatar
Sport Investment ya serikali ya Qatar yameshaanza.
"Kuwa na Beckham miongoni
mwetu, uwanjani au nje ya uwanja, ni muhimu sana," PSG president Nasser
Al-Khelaifi alikaririwa nagazeti la Ufaransa, L'Equipe. "Sie tupo tayari
kufanya nae kazi, sasa maamuzi yamebaki juu yake."
Yote haya yanaonyesha kwa namna ambavyo alivyo na high demand, baada ya kustaafu Beckham ataendelea kutunisha mfuko na kuendelea kuwasumbua akina Ronaldo na Messi kwenye listi ya wanasoka wanaoingiza fedha nyingi annually.
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako