Saturday 17 August 2013

MSIMU MUPYA WA WANAWAKE LIVE


Baada ya mapumziko ya uzazi, sasa amerejea kwa kishindo ndani ya kipindi hiki pendwa cha Wanawake Live... Maoni yako ya Wanawakelive kusambaa maeneo mbalimbali ya Tanzania yamefanyiwa kazi,  so anakuja huko huko uliko si Dar tu na Vijijini zamu yenu imefika...Endelea kutazama kipindi chako cha ukweee,  inaweza kuwa ni maeneo yako unayoishi au kijiji ulichotoka atapita Insh-allah Mungu atupe uhai na wadau wa kushirikiana nao. ila lengo na madhumuni ni kufika sehemu kubwa ya Tanzania na kubadilishana uzoefu kwa maendeleo ya mwanamke wa Tanzania. 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako