Monday 5 August 2013

FLAVIAN MATATA AKICHEZA BILA KUKUNJA GOTI



Flaviana Matata ni mmoja kati ya marafiki wakubwa wa Mwana FA na AY na video hii inamuonyesha akiwa na Model mwenzake kutoka Sudan Ajak wakicheza style ya "Bila kukunja goti" ikiwa ni style inayotarajiwa kuwepo katika video ya wimbo wa AY, FA na Jay Martin (Nigeria) "Bila kukunja goti".

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako