Wednesday 14 August 2013

MAANDALIZI YA VIDEO - CHEZA BILA KUKUNJA GOTI

Wahusika wakuu Wa kutuonyesha jinsi ya kucheza bila kukunja goti wakiwa katika maandalizi ya kurekodi video hiyo Afrika ya kusini
 Maandalizi ya video ya kucheza bila kukunja goti ndani ya South Africa
 Director na wasaidizi wake watakaorekodi video ya kucheza bila kukunja goti
Camera itakayotumika kurekodi video ya kucheza bila kukunja goti inayofanyika nchini Afrika Kusini

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako