Monday 12 August 2013

PICHA ZA SHEIKH PONDA HOSPITALIN

 Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na taasisi za Kiislam Nchini akiwa Hospitalini jana jioni kulia ni eneo la Bega alipopigwa Risasi na Polisi Juzi Mkoani Morogoro
 Sheikh Ponda Issa Ponda,akiendelea kupata matibabu kufuatia majeraha aliyopata kwenye bega la kulia
 
Sheikh Ponda Issa Ponda, akipokelewa na wahudumu katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili
 Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na taasisi za Kiislam Nchini akiwa amelala Hospitalini jana jioni.
  Katibu wa Jumuiya na taasisi za Kiislam Nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda,akiwa Mahakamani wakati wa hukumu ya kesi ya Uchochezi iliyokuwa anamkabili

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako