Wednesday 14 August 2013

PICHA ZA MAZISHI YA BILIONEA ERASTO

 Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka Akiwasili Msibani
  Msema chochote wa Msiba huo Jacob Stephen (JB)
  Waombolezaji wakiwa msibani
 Waombolezaji wakiwa msibani wakitizama yanayoendelea kwenye Runinga
 Waombolezaji wakijipanga kwenda kuuaga mwili wa Marehemu
 Jeneza la mwili wa Marehemu liliwapa watu wengi mshangao baada ya kufunguliwa kwa remoti
 Wanandugu wakipita kuuaga mwili wa marehemu
 Mke wa marehemu akimuaga Mumewe
 Askofu akisaini kitabu cha Rambirambi
 Viongozi wa Dini nao wakisaini kitabu cha rambirambi
 Waombolezaji wakiwa kwenye mstari kwenda kuaga mwili wa Marehemu
 Askofu akiaga mwili wa Marehemu
 Watoto wa Marehemu wakifuatilia shughuli ya mazishi
 Mtoto wa Marehemu akiaga mwili wa marehemu baba yake
 Mbungu wa Simanjiro na Mkuu wa Mkoa wakiwafariji wafiwa
 Mwili wa marehemu ukiwa tayari kuelekea makaburini kuhifadhiwa
Watoto wa Marehemu wakiongoza msafara kwenda makaburini 
Safari ya kuupeleka mwili wa marehemu Erasto kwenye makazi yake ya milele 
Wananchi wakielekea makaburini kwenda kumuhifadhi Bilionea Erasto 
Mwili wa Marehemu Erasto ukiwasili eneo la makaburini 
 
Dada wa Marehemu akitoa neno kabla ya mazishi 
Askofu akiendesha ibada ya mazishi 
Wachimbaji wadogo wadogo wakifuatilia ibada ya mazishi 
Mkuu wa Jimbo Wakati akibariki wa eneo la kuzikia 
Jeneza likishushwa kaburini kwa mashine maalum
Mwili wa Marehemu Erasto ukiwa kwenye makazi yake ya milele 
Familia ya Marehemu ikiweka udongo ishara ya kumuaga Erasto 
 
Mafundi wakiendelea na shughuli za kujengea kaburi 
 Msalaba ukisimikwa mbele ya Kaburi la Marehemu Erasto
Askofu akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Marehemu 
Gari alilokuwa akiendesha Marehemu Erasto kabla ya kufikwa na umauti 
 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako