Saturday 17 August 2013

CHRISS BROWN AZIDI KUANDAMWA NA MIKOSI


Siku si nyingi baada ya kukutwa na maswahibu ya kuendesha gari huku akiwa amelewa jana ripoti ya polisi imekamilika baada ya upelelezi kukamilika baada ya mtu mmoja kumfungulia mashitaka msanii huyu na watu wake baada ya kusema alifanyiwa fujo na wafuasi wa Chris Brown na kupigwa kisha Chriss brown kukimbilia studio.
Tukio ili lilitokea mwanzoni mwa mwaka huu lakini hapakuwa na ushahidi wowote wa kumtia nguvuni Chriss ila baada ya ripoti kukamilika toka kwa Los Angels Police Department wapelelezi wamemtumia Msanii huyu barua ya kumtaka afike Police kabla ya Tarehe 24 mwezi wa 8.
Chris Brown anahitajika fika mahakamani kujibu tuhuma hizo zinazomkabili.
Kama Brown atakutwa na hatia kwenye mashtaka haya anaweza kwenda jela zaidi ya miaka miwili na kumlipa fidia na kuwezesha polisi kumtia  nguvuni alimshambulia jamaa huyo mwingine pindi walipokuwa nje ya studio eneo la kuegesha magari.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako