Monday 12 August 2013

MASTER JAY ALOWESHWA MAJI KWENYE BIRTHDAY PARTY YAKE

Ijumaa ilikuwa siku ya kuzaliwa ya mmiliki na mtayarishaji wa muziki kutoka Mj Records, Joachim maarufu kama Master Jay.
  
Ilikuwa mara ya kwanza Master Jay kuweza kuchezea ndoo za kutosha za maji kutoka kwa watu wake wa karibu.
 Chini watu mbali mbali waliohudhuria birthday party ya Master Jay.
 
 Master Jay akiwa na Quick Racka "Switcher" kushoto na Izzo Bizness upande wa kulia
  Master Jay hapa akiwa na mchezaji wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA Hasheem Thabeet
  Hapa akiwa na rafiki wake wa karibu Salama Jabir

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako