Monday 10 June 2013

Mkali Kaseba

nimeona hiyooo!!

Hapo Japhet Kaseba akimtupia makonde ya nguvu mpinzani wake Rasco Simwanza kutoka Malawi ambayo mwisho wa siku Japhet aliweza kumtwanga mpinzani wake kwa TKO raund ya tano na kubeba mkanda wa Kimataifa wa PST

Kaseba Akiwa na mashabiki wake huku mwana yupo juu!!

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako