Thursday 13 June 2013

ROONEY AJA NA STAILI MPYA YA NYWELE BAADA YA MATIBABU





Mshambuliaji wayne Rooney  ametoa [picha yake ya kwanza jinsi muonekano wake wa nywele ulivyo toka afanyiwe matibabu ya pili ya kupandikiza nywele katika kichwa chake.

Rooney na mkewe Coleen ambao ni wapenzi wa mwanamuziki wa kimarekani Rihana walijitokeza kwa mara ya kwanza walipokuwa wakihudhuria onesho la mwanamuziki huyo jijini Manchester.




Rooney  na mkewe Coleen ambao wanatajwa kuwa wapenzi wakubwa wa vibao vya mwanamuziki Rihana. nyota huyo  alituma picha yake katika ukurasa wa twitter ukimuonesha akiwa na mke wake ndani Ya mkato huo mpya wa nywele mara baada ya kufanyiwa matibabu na walijitokeza katika onesho hilo wakiwa wanaazimiosha miaka mitano ya ndoa yao.\
Matibabu ya Mchezaji huyo yalimgharimu paundi million 15,000 iliyojumuisha kutoa nywele zake za kichogoni na kuzipandikiza mbele ya kichwa chake(katika upara)




No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako