Sunday 16 June 2013

ALIPUMZIKA NGWEAR LEO LANGA

MUHIMBILI HOSPITAL

Che Guevara
Langa Kileo kuzikwa kesho Jumatatu kwenye Makaburi ya Kinondoni , Langa alikuwa mwanaharakati mfano wa Che Guevara........Rest In Peace Langa Kileo
Gangster Langa Kileo
 Wakilisha- kutoka kushoto Shaa, Langa Na Witness  R I P MAN
R.I.P Langa
Kifo, Jela, Umma Taasisi Moja ya ngoma zake kupinga matumizi ya Madawa ya kulevya kwa Vijana

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako