Wednesday 19 June 2013

SUGU ANUSURIKA KIFO AJALINI

Habari zilizotufikia hivi karibuni zinaseama kuwa mbunge wa Mbeya mjin Joseph Mblinyi Maarufu kwa jina la Sugu amepata ajali katika eneo linalojulikana Kama Kasheki lililopo wilaya ya Hanang.

Munge huyo alipata ajali akiwa anaelekea jijini Arusha kwenye maziko ya wahanga wa mabomu na ajali hiyo ilitokea mara baada ya Gari la mbunge huyo kugongana na Basi lililokuwa limebeba abiria

Good news ni kwamba mbunge ametoka akiwa mzima pamoja na gari lake kuharibika vibaya.
PATAPICHA inamtakia kila la kheri mtanzania mwenzetu huyo.
sugu akiwa ndani ya moja ya magari yake

Mbunge huyo akiwa ndani ya mavazi yake ya  heshima

Sugu nadni ya moja ya mikutano ya CHADEMA

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako