Wednesday 12 June 2013

WASANII WAUAGA UKAPELA

Noorah na mkewe Camillah

Mkali toka Kundi la East zuu Noorah amekuwa mwenye furaha tena mara baada ya kuvuta jiko na kuukacha ukapela mkoani Shinyanga.
Ni takriban siku nne zimepita tangu kumzika Albert Mangwea mjini morogoro hivyo tukio hilo la ndoa kwa mwanachemba Noorah limekuwa jambo la faraja sana kwake.

PATA PICHA inakutakia maisha mazuri ya ndoa.
H baba akidondoka saini hapo huku bibie akipiga jichoo!!
Best Man,Hbaba,Flora na Wastara

Huku Noorah akivuta jiko na kupata furaha ya maisha Msanii  H BABA nae ameelezea kuwa na furaha na amani ya moyo mara baada ya kuufunga ndoa na msanii wa filam Tanzania Flora Mvungi
Wawili hao wamekuwa pamoja kwenyemaisha ya uchumba mpaka sasa tunaweza kumuona H baba kwenye filam akitanya vizuri
Pamoja tunasema Maisha yenye furaha ndani ya ndoa yenu…

 Kunywa Maziwa Babaa!!!haya ndo maisha H baba akipewa maziwa na mke wake Flora Mvungi

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako